Deuteronomy 19:1

Miji Ya Makimbilio

(Hesabu 35:9-34; Yoshua 20:1-9)

1 aWakati Bwana Mungu wenu atakapokuwa amewaangamiza mataifa ambayo nchi yao anawapa ninyi, wakati mtakapokuwa mmewafukuza na kuishi katika miji yao na nyumba zao,
Copyright information for SwhNEN